Gundua
Piga picha ya tatizo la mmea au uliza swali lolote la kilimo.

SHIRIKISHO · ELIMU · BIASHARA
Tunaunganisha maarifa, masoko na huduma muhimu kwenye jukwaa moja. Kutoka shambani hadi sokoni, kila hatua inawezekana na MkulimaForum.
“Kupitia MkulimaForum, nimejifunza mengi, na sasa naongeza uzalishaji na kipato.”
— Asha, Mkulima wa Mahindi, Morogoro
Rahisi, haraka na yenye matokeo halisi.
Piga picha ya tatizo la mmea au uliza swali lolote la kilimo.

Pata majibu sahihi kutoka Mkulima AI na ushauri wa kitaalam kwa lugha rahisi.

Tumia maarifa, nunue pembejeo bora na uuze mazao kwa bei nzuri kupitia masoko ya uhakika.

Kilimo chako. Maarifa bora. Masoko bora. Maisha bora.Pamoja, tunajenga kilimo chenye tija kwa Tanzania.
Tambua matatizo ya mimea na pata ushauri wa vitendo.
Thibitisha ubora kabla ya kununua mbegu, dawa au mbolea.
Fikia wanunuzi, wauzaji na bei za mazao kwa urahisi.
Jifunze, uliza maswali na shiriki uzoefu na wengine.
Pakua MkulimaForum na upate maarifa, masoko na msaada unaohitaji kila siku.
Pakua App ya Mkulima